Buriani Abel Dhaira - Mlinda mlango wa zamani wa Klabu ya Simba

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,870
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Uganda Cranes na Simba ya Dsm,Mganda Abel Dhaira amefariki leo.

Dhaira amefariki wakati akipigania uhai wake kwa kupambana na saratani ya utumbo.

Msimbazi watamkumbuka Dhaira.

Mungu amlaze mahali pema peponi.

image.jpeg
 
Mwenyezi Mungu twakuomba, umpunzishe kwa Amani kipenzi chetu Abel.
 
Back
Top Bottom