Bunker mentality IKULU

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
3348706.jpg



Hivi kwa nini Premy na crew yake wanazidi kufanya kila jitihada kuzuia access ya inner workings za Ikulu?


Mfano, hawakufanya any public consultation kabla hawajata ile miti kule nyuma


pia hivi internships za Ikulu ni za watoto wa wakubwa tuu?


How hard is it kwa wao kupata ordinary students from ordinary backgrounds toka all over the country kupewa nafasi ya kuwa ma interns Ikulu?


Mbaya zaidi sasa hivi wameamua kuweka mabati kuzua tusione hata wale ma bata mzinga waliopo ndani mle, let alone kule kwenye viwanja vya faragha


The way walivyokuwa detached from the rest of us shows how much out of touch idara ya Mawasiliano Ikulu ilivyo from the rest of us. We the people don't know who is who in the great office of the State.

A website would have been a good start lakini, I guess kwa jinsi ninavyowakosoa Ministry of FARCE AFFAIRS (foreign) I can only imagine the last thing salva atataka ni kuweka website ya Ikulu.

Then wanalalamika kuwa they are always on firing line from online citizens
 
Back
Top Bottom