Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Jery, usikurupuke !! Tafadhali usitie dhaana mbovu na ovu kwa wengine. Ulimwengu huu pembe zote kuna ajira za kila aina. Mie mwanangu kaajiriwa nje ( Bahari au mcheza soka au mbeba Boxi ) Lakini heshima yake kama mchapa kazi imefana!!Yaani ule dola 2000 halafu mtoto wa watu aende kuwa Punda huko majuu,
mweee!!!
Wewe unaweza kukubali afanyiwe mwanao hivo?
Kikubwa tukutane pm haina haja ya kuorozesha aina au wazo la biashara hapa! Hapa wachawi wengi.
Jery, usikurupuke !! Tafadhali usitie dhaana mbovu na ovu kwa wengine. Ulimwengu huu pembe zote kuna ajira za kila aina. Mie mwanangu kaajiriwa nje ( Bahari au mcheza soka au mbeba Boxi ) Lakini heshima yake kama mchapa kazi imefana!!
Badala ya kuishia kijiweni au kuiiba/kuitwa mwizi haipo.
mkuu hakuna uchoyo hapo,Eh mkuu, unaogopa wachawi JF? Ingekuwa members wote humu wachoyo kama wewe watu wasingeona umuhimu wa JF. Kwa dizaini hiyo hata huyo partner wako lazima mtazinguana. Watu wangekuwa waoga wa kutoa mawazo yao mimi nisingekuwa mfanyabiashara leo hii.
Mm nataka partnership!
Ww huwezi kuniajiri, eti nikuuzie business idea then uniajiri!?
Kajipange!
Mm nataka partnership!
Ww huwezi kuniajiri, eti nikuuzie business idea then uniajiri!?
Kajipange!
Nakusaidia tu, sitaki malipo. Fungua ofisi ya Recruitment ;-
Wafanyakazi wa majumbani kila kichwa $2000
Wafanyakazi Mahoteli kila kichwa $2500
Wafanyakazi carwash kila kichwa $1800
Soko kuu lipo M/E , China, Far-East,nk. kama upo tayari PM imed.
mahakamani??? ....kisa nini hasa!! ndo uaminifu unapatikana huko?? ...mtu aniambie chochote lakini sio habari za mahakamani aisee....kama kazi za siku hizi ndivyo zilivyo peaneni wenyewe tu.
Ungekuwa fair ungesema utamlipa kwa business idea yake au mtaisajili kwa jina lake. Hivyo facilities, systems na infrastructure zinakuwa zako kisheria na idea inaimiliki yeye kisheria vile vile.
Hawaendi watoto under age. Ni ya waatu walokuwa timamu na kusaini mkataba ofisho.Duh! Hii watu hawawezi kuichukulia kama human trafficking?
Wenye maslahi wengi ni exploitative....they only think to maximize their wealth!Pointi nzuri hii. Pia hii itakutolea uoga wa yeye kutokomea sababu yeye pia ana kiasi fulani cha umiliki wa biashara.
Hawaendi watoto under age. Ni ya waatu walokuwa timamu na kusaini mkataba ofisho.