Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabina, Jun 15, 2011.

 1. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani wana JF, naomba kuuliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Hivi ile FIMBO inayokuwa pale mbele BUNGENI inamaanisha nini. Hutangulia kabla ya SPIKA kuingia na hutangulia SPIKA aktaka kuondoka!!!!!!!!!!!!!1
  Huwekwa pale mbele.

  KAZI YAKE NINI? na inamanisha nini?
   
Loading...