Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,748
Mwanzoni nlikua napata kigugumizi kumhusisha Magufuli na haya yaliyotokea bungeni ,ila sasa naona wanachokifanya kina Nape,Chenge zina baraka kutoka Mamlaka ya juu
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.
Ndiyo maana mimi Rais wangu bado ni Mamvi!Nmeshangaa huyo jamaa anaziba kabisa camera za waandishi wa habari. Hv hii iko sawa
Huo ndio ukweli mkuu na sio hilo la katiba tu bali naona kuna mengine mengi ,CCM mara zote lazima wawe na nguvu kwenye mihimili hii mitatu ya serikali ,Chenge ni Mwenyekiti wa bunge kwa maslahi ya ccm na sio taifa ,Hapa naanza kuitafuta sababu ya huyu jamaa kupewa uenyekiti wa hili bunge, sitaki kuhisi kwamba huenda nikufanikisha kupitisha katiba aliyoiandika.
Ndiyo maana mimi Rais wangu bado ni Mamvi!
Itakuwa vigumu kuiamini ccm hata kama ikiongozwa na malaika!