Kafafanua jinsi mwenyekiti anavyopindua mambo kutaka kumnyamazisha sugu......kasema huwezi ukasema mbunge afute kauli yake kwamba anachoongea ni uwongo bungeni unless wewe uliyesema anasema uwongo bungeni umedhibitisha ukweli ndipo muhusika afute kauli yake.........
Aliyekamatwa na bunduki ya kijeshi tena SMG mbili ni Adam Malima.Au unamaanisha CCM wamemteka maana ndo wanamiliki bunduki za kivita. Unamkumbuka Ditopile?Gamba wewe.hivi hawa wabunge wetu wamesoma chini ya mwembe nini? inakuwaje mtu anaruhusiwa kuropoka maneno ya machafuko yasiyo kuwa na facts zozote? hivi haoni majambazi kibao wenye bunduki tena mpaka za kijeshi?
hao ndio wanaoendekeza radio mbao!!!!
huwa anachemka tu huyu babu!
Siku hizi imekua fashion kutolewa bungeni, sifa ni mbaya sana. Mtu kama sugu anapewa nafasi ya kuongea kweli. Tanzania imekwisha jamani. Mpaka wapuuzi wamo bungeni