Ameomba Bungeni, Naibu Spika alitaka kumaliza. Wenje kamshikilia kwamba maelekezo ya Spika hayakuwa kwamba ukiomba msamaha ndo unaachwa. Amemtaka Naibu Spika aite polisi mara moja ili Serukamba atolewe. Atatoa majibu baadae
Source au ndio wewe serukamba unaomba sasa? mpuuzi kama huyo hafai hata kusamehewa
Ndio, kauli ya spika lazima iheshimiwe, au yupo Ndugai?Lakini bado mh. Wenje kamnga'ang'ania hadi police wamtie adabu kudadadeki
Sawa kabisa. Utasikia mtu katembea na mama mkwe au shemeji au hg na kusingizia pombe, UONGO mtupu tamaa hujengwa kabla na pombe huwa kisingizio tu.mh bahati mbaya wapi mtu akishazoea matusi hutukana ovyoovyo
lakini ustaarabu ukiwa nao kamwe huwezi kutukana kwa bahati mbaya kwa sababu hata tusi kuelea kichwani kwako haiwezekani.