Bungeni: Richard Ndasa anamshambulia Zito kabwe Bungeni

Status
Not open for further replies.

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
841
282
Jamani, hivi sasa hapo bungeni Mbunge Richard ndasa anamshambulia Zito kabwe na
Chadema kwa hoja yake kuhusu alichowakilisha bungeni leo! Vipi maoni yenu katika hoja zake?
 
Sikufanikiwa kusikiliza alowasilisha Zito ila ndg yangu usishangae, hawa wanasiasa wana lao jambo. Hata mpinzani wa mtu akifanya jema lazima watofautiane - Sijui ndo walivyofundishwa kwenye vyuo vya siasa (kama vipo?/)
 
Ukiandika thread kama hizi unatakiwa kujua kuwa si watu wote wanaosoma wapo wanaangalia tv sasahivi! Toa maelezo, acha ujinga!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom