Bungeni raha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni raha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Viol, Jul 5, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Angalia hapo alipoweka mkono wa kulia,kaegesha mkono kwenye meza akisikia wenzake wanapiga makofi na yeye anaunganisha
  [​IMG]
   
 2. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Jamani hawaachi vijana tena...
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamani amekunywa dawa za mafua.. zinasababisha kausingizi kidogo tu japo dakika moja!:sleepy::sleepy:
   
 4. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ila wabunge wetu wanakaa kwa starehe ukiangalia mabunge mengine, wanakaa kwa shida nafasi ndogo, bunge la Kenya lenyewe dogo wanabanana ila sisi tumevunja rekodi.
   
 5. C

  CAY JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanaurambo mashariki mpo????Mnawakilishwa hapo!
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimecheka sana,mbali na kuunganisha hapo kuna hatari ya kuota wanapiga makofi halafu akajikuta amewatangulia wenzake.
   
 7. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Zamu ya Joni sasa yeye anatakiwa astaafu.

   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wewe unataka akalale kwao wakati kwao hakuna posho?
   
 9. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hahahahaaaa, hajalala ila anaconserve energy ya kuona aihamishie kwenye kusikia ili hoja zinazotolewa ziingie vizuri, au mzee jana alipiga sana mtindi kisha kavuta kamzigo kamemkimbiza ucku kucha.
   
 10. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  :clap2:
   
 11. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Halafu unajua hawa vijana wa M4C hoja zao nzito mno, ona sasa wanawanyima usingizi usiku wazee wetu matokeo yake wanapiga siesta mjengoni bana.
   
 12. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tupo mkuu, ila tunafahamu kwamba mbunge hapo anaota urais wa 2015, hivyo anasinzia kwa manufaa ya taifa.
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  kazi ipo!
   
 14. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,939
  Trophy Points: 280
  Najiuliza Bosi wangu akinikuta wakati wa kazi nimepiga usingizi kwa style hiyo atanichukulia hatua gani?
  Sasa niwaulize mabosi wa Sitta ambao ni wananchi wa Urambo,jee mnamchukulia hatua gani mtumishi wenu huyo?
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,468
  Trophy Points: 280
  inaonekana humo ndani mnajoto sana.
   
 16. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  na ndo maana ukiangalia mabunge ya wenzetu huwezi kuona eti mb kalala! hapa kwetu maraha yamezidi. wangebene kama kule kenya ,nk. hakuna ambaye angelala.
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahaha Uncle Sitta what happen...Umekunywa Benedrily nini?....
   
Loading...