utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
Dogo nimemwona mbele ya Runinga hapa anajikanyaga kanyaga,hadi kapoteza confidence
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
jioni hii mbunge wa
arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea
matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa
dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy
akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua
posho hizo warudishe mara moja.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao
wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili
ya uongozi.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako
usifiche ukweli kuwa chadema inakumbatia uchafu
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
Ivi unafaidika nini kuongea uongo?
Ni wapi alipotetea matumizi mabaya?
$
Umemsikiliza ukamuelewa alichokisema? Unasikitisha sana!