The Hunter JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 1,049 Reaction score 307 Apr 19, 2012 #41 Jamaa kashusha majina ya makampuni hewa ya ukaguaji wa magari na wamiliki wake ambao ni watanzania na wala si watu wa nje Kataja mpaka kikao kilichokaa Kempisky hotel jamaa wanaojiita watoto wa mjini walivyoform kampuni na kujipa dili
Jamaa kashusha majina ya makampuni hewa ya ukaguaji wa magari na wamiliki wake ambao ni watanzania na wala si watu wa nje Kataja mpaka kikao kilichokaa Kempisky hotel jamaa wanaojiita watoto wa mjini walivyoform kampuni na kujipa dili
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Apr 19, 2012 #42 Mtende said: naona makampuni hewa yanatajwa pamoja na vogogo wa ccm waliohusika Click to expand... Vicent Nyerere anaua, anataja majina na details za wizi wa ukaguzi magari!!!
Mtende said: naona makampuni hewa yanatajwa pamoja na vogogo wa ccm waliohusika Click to expand... Vicent Nyerere anaua, anataja majina na details za wizi wa ukaguzi magari!!!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #43 uozo mkubwa tbs,ufisadi uliokithiri, makampuni hewa hayafanyi chochote zaidi ya kuparanga fedha za wananchi
uozo mkubwa tbs,ufisadi uliokithiri, makampuni hewa hayafanyi chochote zaidi ya kuparanga fedha za wananchi
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #44 Bigirita said: Vicent Nyerere anaua, anataja majina na details za wizi wa ukaguzi magari!!! Click to expand... nadhani kila kitu kitakua hadharani,muda wa kuwadanganya wananchi umekwisha
Bigirita said: Vicent Nyerere anaua, anataja majina na details za wizi wa ukaguzi magari!!! Click to expand... nadhani kila kitu kitakua hadharani,muda wa kuwadanganya wananchi umekwisha
KOMBAJR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 5,827 Reaction score 1,276 Apr 19, 2012 #45 Vicent Nyerere anamlipua Mbaya Naibu Waziri Nyalandu....kata makampuni feki yote na wamiliki wake! Hii ni aibu kwa serikali na mawaziri wake.
Vicent Nyerere anamlipua Mbaya Naibu Waziri Nyalandu....kata makampuni feki yote na wamiliki wake! Hii ni aibu kwa serikali na mawaziri wake.
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,986 Reaction score 5,708 Apr 19, 2012 #46 vicent nyerere ni kiboko
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #47 hajajiuzulu waziri hata mmoja hadi sasa sijui wanasubiri nini
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,986 Reaction score 5,708 Apr 19, 2012 #48 deo atalipua leo?
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #49 KOMBAJR said: Vicent Nyerere anamlipua Mbaya Naibu Waziri Nyalandu....kata makampuni feki yote na wamiliki wake! Hii ni aibu kwa serikali na mawaziri wake. Click to expand... inabidi sas bunge lifanye uamuzi mgumu
KOMBAJR said: Vicent Nyerere anamlipua Mbaya Naibu Waziri Nyalandu....kata makampuni feki yote na wamiliki wake! Hii ni aibu kwa serikali na mawaziri wake. Click to expand... inabidi sas bunge lifanye uamuzi mgumu
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Apr 19, 2012 #50 vicent ameua fulukunjombe naye anapigilia msumari kwa mawaziri
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #51 mkulo kashfa nzito,aongoza kwa kutafuna fedha za wananchi
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,986 Reaction score 5,708 Apr 19, 2012 #52 mkullo ni jizi
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Apr 19, 2012 #53 Mkulo si mwaminifu, anaongoza kwa kuitafuna nchi hii Source: Deo Filikunjombe
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,551 Apr 19, 2012 #54 Deo Filikunjombe amemtaja live Mkulo kuwa anafanya madudu.
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #55 Angel Msoffe said: vicent ameua fulukunjombe naye anapigilia msumari kwa mawaziri Click to expand... yani leo ni shughuli hapa
Angel Msoffe said: vicent ameua fulukunjombe naye anapigilia msumari kwa mawaziri Click to expand... yani leo ni shughuli hapa
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #56 Kadakabikile said: Deo Filikunjombe amemtaja live Mkulo kuwa anafanya madudu. Click to expand... huyu jamaa anajiamini sana,waziri wa fedha analidanganya bunge daaah mkulo mwaka huu mwisho wake
Kadakabikile said: Deo Filikunjombe amemtaja live Mkulo kuwa anafanya madudu. Click to expand... huyu jamaa anajiamini sana,waziri wa fedha analidanganya bunge daaah mkulo mwaka huu mwisho wake
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 19, 2012 Thread starter #57 wabunge hawana imani na mawaziri source:deo
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,248 Apr 19, 2012 #58 natamani ccm wote wafe na wahongwa pilau wao wote tubaki cream,.amen.
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,986 Reaction score 5,708 Apr 19, 2012 #59 chezea mkulo
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,551 Apr 19, 2012 #60 Mtende said: yani leo ni shughuli hapa Click to expand... Leo ni raha sana. Baadhi ya mawaziri wamekuwa mchwa. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Mtende said: yani leo ni shughuli hapa Click to expand... Leo ni raha sana. Baadhi ya mawaziri wamekuwa mchwa. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".