Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

John Cheyo sasa anazungumza. Kasema FEDHA YA SERIKALI HAINA CHAMA, NI YETU WOTE.
 
Mkuu hapa hata wakifanya parabola hakuna kitu!Lukuvi na hesabu za zile za watu 2 hulima shamba hekari 2 kwa siku 4.

Mytake: Anajaribu kupiga Kinyago Konzi!
 
Lukuvi kachana nn pale?? Afu kasunda kwenye fuko lake....
 
lukuvi anapoteza ushahidi

Umemuona eeh, bila aibu anachana mbele ya kamera. Je, yale wanayochana wakiwa wenyewe huko, nyaraka ngapi wanachana.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Hakuna kitu, hakuna kuwajibika! Wanapoteza kodi zetu kwa allowance huko. Kama kweli wataondoka hapo na implementation milestone niite dog. Hawana lolote hao.
 
nilisema yale majina ya mkuchika ni famba
 
so ccm kwnz an tz inafuata! hv tuna viongoz wa aina gan jaman?
 
Na mabunge mengine alilala pia kuna watu wana avator yake humu ya usingizi na FB wengi tu. noma sijui anakula anavimbiwa au ni nini ?

Yeah! Huyu bwana ni proffessional wa kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…