mwitaz
JF-Expert Member
- Feb 19, 2012
- 315
- 93
Katika hali ya vuta ni kuvute kuhusu shinikizo la Mataifa ya ughaibuni hususani Uingereza na Marekani yanayolazimisha nchi za Afrika kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Mhe. Khatibu Said Haji (Mb. Konde) aliuliza kuhusu msimamo wa Taifa kuhusu hilo jambo tajwa hapo.
Swali tajwa lilikosa majibu ya papo hapo ikamlazimu Waziri Benard Membe kuandaa majibu ambayo anapaswa kuyajibu Bungeni Leo.
Katika ukurasa wa www.twitter.com/benardmembe BENARD MEMBE ameandika kama ifuatavyo kwa nukuu "Naelekea Bungeni kujibu
swali la Mhe.Khatib Said
Haji(Konde) kuhusu
msimamo wa nchi yetu juu
ya shinikizo kutoka nje la
ndoa za jinsia moja"
Kwa sasa nipo ofisini kikazi; nawaomba wale mnatazamo Bunge mtutupie picha hapa pamoja na updates.
Ahsanteni.