Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Afu kama huyu anaitwa zambi cjui dhambi anaboa
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.
Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.
kwa mara ya kwanzanimeikubali coments yako, nakupa 2/10.Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836