Maswali kwa waziri mkuu ni usanii mtupu. Mfano W/Mkuu anaulizwa kuhusu mawaziri kuishi hotelini, naye anamuuliza mbunge ni mawaziri gani, anapoambiwa ni nahodha, anajibu sawa nimesikia. Hapa tulitegemea W/Mkuu alijue hili kama kweli serikali yake ina nia ya kupunguza gharama, maana hili la nahodha limeandikwa hata na vyombo vya habari.
Pia, spika amepotezea(kwa kisingizio cha kesi zipo mahakamani) maswali kuhusu mauaji yanayofanywa na polisi-maana si Nyamongo au Tarime peke yake, mauaji yamefanyika sehemu nyingi tu kama Mbarali ambako kesi haipo mahakamani. Spika amekosa umakini ktk hili
Umeongea vema sana, so far Rekebisha hapo kwenye red tu mkuuPinda ameonesha kwamba hafai kuwa hata mkt wa kijiji na mi naona kuendelea kumuuliza pinda maswali yanayojibiwa na MAKINDA ni kupoteza mda mi naomba kipindi cha maswli ya pinda kifutwe mpaka hapo tutakapo pata mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali kama waziri mkuu. Ninaumia sana hasa ninapomuona pinda na makinda wanachezea maisha ya wtz kwa kutoa majibu ya kitoto kwenye mambo makubwa.
Nyamabafuuu kabisa mi hawa wa magamba wananiudhiiiiiiiiiiiiiii!!!mpiga kura gani anaenda kuomba fedha bungeni au ni usanii tu??sasa nasema hiviiiiiiii posho nooo na ole wao waseme yeeessss!!!kudadaddeki zaooo!!!!!
bibi kiroboto ni nungayembe ANAHANGAIKAhivi huyu mama kaolewa na nani?
wewe unafkiri kila mtu anabeba box auanafanya kazi mcdonald? watu wamejiajiri na kuajiri watuwenginekafanye kazi ***** we ujenge taifa lako. unafanya nini asubuhi hii yote kwenye luninga?
Walipo lizungumzia swala la mauji ya arusha hicho kifungu hakikuwepo au walikuwa hawakijui au mambo yamekuwa magumu hasa baada ya kugundua wanachemka waache unafiki....Sina kifungun hapa nasubiri ufafanuzi wa Spika, ila suala likiwa katika mhimili mmoja wa Dola na hasa Mahakama haliruhusiwi kujadiliwa na mhimili mwingine