Lunyungu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 8,873 Reaction score 1,925 Jun 21, 2011 #21 Kuna tija kwa Taifa kwa sisi kuachakujadil hoja za maana na kujadili utoro wa Lowasa ? Guys lete mada zenye mashiko please.
Kuna tija kwa Taifa kwa sisi kuachakujadil hoja za maana na kujadili utoro wa Lowasa ? Guys lete mada zenye mashiko please.
Arafat JF-Expert Member Joined Nov 17, 2009 Posts 2,581 Reaction score 768 Jun 21, 2011 #22 BCR said: Nyie mmelipwa kumsafishaee! Click to expand... Kwani amechafuka lini? na amechafuliwa na nini?
BCR said: Nyie mmelipwa kumsafishaee! Click to expand... Kwani amechafuka lini? na amechafuliwa na nini?
ngamiamzee JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 245 Reaction score 19 Jun 21, 2011 #23 Aliyetamka mtoro ni wa chama cha majike au chama cha dume ?
The dirt paka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 371 Reaction score 69 Jun 22, 2011 #24 Mwanakili90 said: Katika zoezi linaloendelea hivi sasa,la kupiga kura ya kupitisha Bajeti,Mh.Edward Lowasa ameitwa mtoro na wabunge wenzake baada ya jina lake kuitwa na kuwa kimya,kuna mbunge akaitikia mtoro. Click to expand... Chuki binafsi + fitina = mauti/donda la moyo.
Mwanakili90 said: Katika zoezi linaloendelea hivi sasa,la kupiga kura ya kupitisha Bajeti,Mh.Edward Lowasa ameitwa mtoro na wabunge wenzake baada ya jina lake kuitwa na kuwa kimya,kuna mbunge akaitikia mtoro. Click to expand... Chuki binafsi + fitina = mauti/donda la moyo.
G geophysics JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 904 Reaction score 167 Jun 22, 2011 #25 umenikumbusha neno mtoro....? walimu shule ya msingi miaka hiyo walilipenda sana
Mtanzania1 JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 1,170 Reaction score 175 Jun 22, 2011 #26 Tajy said: Mafisadi wote hawapo,sema kwa lowasa wameropoka tu mtoro Click to expand... .....................Tafadhali naomba unipe listi ya majina mafisadi niwajue
Tajy said: Mafisadi wote hawapo,sema kwa lowasa wameropoka tu mtoro Click to expand... .....................Tafadhali naomba unipe listi ya majina mafisadi niwajue
Barubaru JF-Expert Member Joined Apr 6, 2009 Posts 7,161 Reaction score 2,329 Jun 22, 2011 #27 Ataitwa mtoro tu pale ambapo atakuwa hayupo bungeni bila kupata ruhsa ya spika. lakini kama spika kawaruhusu basi hao sio watoro.
Ataitwa mtoro tu pale ambapo atakuwa hayupo bungeni bila kupata ruhsa ya spika. lakini kama spika kawaruhusu basi hao sio watoro.
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,929 Jun 22, 2011 #28 Tulikuwa naye hapa site nyumba ya sanaa ya zamani jana mchana