Vmark. JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 1,353 Reaction score 274 Jul 4, 2012 #201 Mpasua Jipu said: Bunge letu sasa limegeuka uwanja wa vijembe na kutupiana lawama, nawasihi wabunge wafuate kilicho wapeleka Dodoma. Click to expand... Wafuate kipi tena mkuu? Kwa sasa wanachokifanya ndo kilichowapeleka huko........
Mpasua Jipu said: Bunge letu sasa limegeuka uwanja wa vijembe na kutupiana lawama, nawasihi wabunge wafuate kilicho wapeleka Dodoma. Click to expand... Wafuate kipi tena mkuu? Kwa sasa wanachokifanya ndo kilichowapeleka huko........
BABU CHONDO JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 855 Reaction score 139 Jul 4, 2012 #202 Nisha sema sana kwa sasa sio bunge ni kikao cha Harusi. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nisha sema sana kwa sasa sio bunge ni kikao cha Harusi. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndekirhepva JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 371 Reaction score 44 Jul 4, 2012 #203 jama mwenye video clip ya yaliyojiri jana bungeni, kwa maana nimetafuta you tube ila nimekwama, msaada please
jama mwenye video clip ya yaliyojiri jana bungeni, kwa maana nimetafuta you tube ila nimekwama, msaada please