Ni kuhusu hatma ya fao la kujitoa (withdrawing benefit ) ni kipi kimeongelewa hasa na Wabunge wetu pendwa, wazalendo, na wenye upendo wa dhati kwa Wananchi walio wachagua.
Mwenye taarifa karibu atujuze ili tujue hatma yetu kwenye maisha baada ya ajira.
Karibuni kwa hoja.
Mwenye taarifa karibu atujuze ili tujue hatma yetu kwenye maisha baada ya ajira.
Karibuni kwa hoja.