Bungeni leo: ashki majnuni

Bungeni leo: ashki majnuni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,399
Reaction score
829,717
1417101543457.jpg hili neno ni tusi baya kabisa! Mtu mzima anapolitamka mbele ya hadhira ya vyombo vya habari inabidi achunguzwe akili yake
Ashki majununi ni ny.ege mshindo, inasikitisha mno kuona mwenyekiti wa kikao cha bunge jioni hii 'zungu' akilivumilia tusi hili
 
nani kalitoa mpwa

nilikua barabarani ndo nimefika kiotani kwangu muda huu
 
View attachment 206172 hili neno ni tusi baya kabisa! Mtu mzima anapolitamka mbele ya hadhira ya vyombo vya habari inabidi achunguzwe akili yake
Ashki majununi ni ny.ege mshindo, inasikitisha mno kuona mwenyekiti wa kikao cha bunge jioni hii 'zungu' akilivumilia tusi hili

Kwani aliyekuwa anaropoka kimyakimya kwa kubadilisha sauti si ni mhe Lema ambaye Kibajaji alishasemaga kuwa alipata mume jela. Ni sawa tu.
 
Libido, nyege, ashki majnuni..... is it the same as uchu wa madaraka, hamu ya nyama choma au bia? Chambo nenda kachambe.
 
Wamesha choka sasa wanaaanza mambo Yao ya kishoga bungeni.. Zungu amewastahi sanaaaa ye mwenyewe muuni... Ndio mana kaona Poa tuu lakini wacha warudie tena..
 
View attachment 206172 hili neno ni tusi baya kabisa! Mtu mzima anapolitamka mbele ya hadhira ya vyombo vya habari inabidi achunguzwe akili yake
Ashki majununi ni ny.ege mshindo, inasikitisha mno kuona mwenyekiti wa kikao cha bunge jioni hii 'zungu' akilivumilia tusi hili

ni baada ya kusikia ashki majunuzi..
 
Hilo limama la CCM Mariam Msangi limelewa viroba, mwl wa shule ya msingi, possible mwl wa UPE halijui linasema nini.

Kuna sehemu kachapia kachomekea kingereza watu mbavu ziliwauma kwa muda akajifanya kuvunga.
 
Back
Top Bottom