kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,590
- 183
atajuaje mkukuta wakati yeye mwenyewe amekukutwavik kamata ajui hata kirefu cha MKUKUTA
atajuaje mkukuta wakati yeye mwenyewe amekukutwavik kamata ajui hata kirefu cha MKUKUTA
baada ya mheshimiwa tundu lissu kuwachemsha wagombea uwakilishi wa sadc kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, kwa mujibu wa wanajamii wengi wanasema kama mmoja anashindwa kujua hata kirefu cha neno sadc anagombea nini sasa,,,
mwingine anagombea kitu hajui hata kilianza mwaka gani jamani hawa wabunge wa ccm vipi? Mbona wanahaibika kiumee?
Wanashindwa kusema hata this wanasema zis hahahahahahahahah hapo ndo hoooi
sasa mnyika na lisu walianza juzi na jana, mbowe na kabwe wanawavutia kasi wakati mtoto mdee akishusha pumzi,, lussu ambaye iliwahi kusikika kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" ni heri slaa awe raisi kuliko lissu kuwa mmbunge""
kwa kauli hii inaonesha hata wanaccm wanajua jasho lazima litaatoka safali hii,,
nakupa sana big up li suu,, fanya kazi tulio kutuma kaka
peeeeeeeooooopleeeee.........................
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?
Mkuu, uandishi huu hautusaidii sisi tulio mbali na nchi yetu pendwa... Umeandika kama unatangaza mpira wakati na mambo muhimu kwa taifa letuBaada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua hata Kirefu cha neno SADC anagombea nini sasa,,,
Mwingine anagombea kitu hajui hata kilianza mwaka gani jamani Hawa wabunge wa CCM vipi? mbona wanahaibika kiumee?
Wanashindwa kusema hata this wanasema zis hahahahahahahahah hapo ndo hoooi
Sasa Mnyika na Lisu walianza juzi na jana, Mbowe na Kabwe wanawavutia kasi wakati Mtoto Mdee akishusha pumzi,, Lussu ambaye iliwahi kusikika Kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" NI HERI SLAA AWE RAISI KULIKO LISSU KUWA MMBUNGE""
kwa kauli hii inaonesha Hata wanaCCM wanajua jasho lazima litaatoka Safali hii,,
Nakupa sana Big up Li suu,, fanya kazi tulio kutuma kaka
Peeeeeeeooooopleeeee.........................
atajuaje mkukuta wakati yeye mwenyewe amekukutwa
kuna mbunge hajui kirefu cha SADC?
Sasa mimi nasema Lisu level yake si ya Bunge la Tanzania atawachapa viboko mpaka wakauke, yule level yake ni Bunge la Uingereza,
Mkumbusheni Bwana Lisu kwamba Singida wanataka maendeleo. Kwenda kujitafutia cheap popularity TBC1 Kwa kuuliza "gotcha questions" sio ishu wala nini.
Ushauri wa bure.
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?
Mkuu, uandishi huu hautusaidii sisi tulio mbali na nchi yetu pendwa... Umeandika kama unatangaza mpira wakati na mambo muhimu kwa taifa letu
Naomba basi uwe unapunguza ushabiki ili kutusaidia kupata maana ya ulichotuma
Nashukuru