Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 201
Kama wanavyofanya CCM chama tawala lakini kimekuwa kama cha Upinzani muda wote wanazungumzia ndoa ya Slaa wakati wanazo ahadi 70 za Mr Dhaifu za kutekelezaWaziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda amesema mwanasiasa anayeongelea watu badala ya sera ana matatizo ya upeo wa uelewa. Mh. Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati akijbu swali la Mbunge wa Same Mashariki, ANNE KILANGO aliyetaka kujua hatua gani Serikali inachukua kwa wabunge wanaokwenda kwenye majimbo ya wabunge wenzao na kutoa maneno yenye dalili za kuhatarisha amani na ambayo yanaweza kuliingiza taifa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Katika kikao cha leo cha bunge Mbunge Anne Kilango Malecela amemuomba Waziri mkuu atoe kauli ya Serikali juu ya suala la Vyama vya siasa kupita kwenye majimbo ya wenzao na kuwakosoa:
My take.
CCM ni dhahiri wamejeruhiwa na CHADEMA
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda amesema mwanasiasa anayeongelea watu badala ya sera ana matatizo ya upeo wa uelewa. Mh. Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati akijbu swali la Mbunge wa Same Mashariki, ANNE KILANGO aliyetaka kujua hatua gani Serikali inachukua kwa wabunge wanaokwenda kwenye majimbo ya wabunge wenzao na kutoa maneno yenye dalili za kuhatarisha amani na ambayo yanaweza kuliingiza taifa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe.
sure.....Adai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.