Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,045
Spika
please do your Ndugai.
please do your Ndugai.
<br />Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
<br />Inategemea aina ya simu yako. Nilipokuwa naandika habari huko, nilikuwa naweka tu vibration, nikipigiwa nakaa juu kwenye korido na naongea. Kwa maana hiyo Abood bawezi kuwa na simu ya tochi. Hata Zitto mara nyingi anakuwa anatwitter<br />Sio kwamba bungeni mawasiliano yamekatwa yaani Simu haziwezi kuingia wala kutoka.!?
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
<br />I doubt kidogo pengine kuna jambo alikuwa analifanya.Kwa experience yangu tangu nimeanza kuingia Bungen kusikiza Bunge mle ndani simu haziingii wala kutoka,ukizama ndan tu No Network ingekuwa si ivo mbona tungeona vibweka vingi ndani ya Bunge.Simtetei nazungumzia kile ninachokifahamu kama kuna Mtu anafahamu zaidi aweza kutujuza
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
Asilimia 65% ya wabunge wako kibiashara na kimaslahi zaidi wazee hii ndio tanzagiza bana