Bungeni Dodoma leo - Bunge la Bajeti 2013/2014

Bungeni Dodoma leo - Bunge la Bajeti 2013/2014

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Dodoma. Mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti mjini Dodoma leo utaendelea na vikao vyake na kukamilika June 28, Mwaka huu:

Mambo muhimu:

7: siku ambazo bajeti ya Serikali itajadiliwa

5: Idadi ya siku za kujadili bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

60: Jumla ya vikao vya Bunge la Bajeti

83: Siku ambazo mkutano wa Bunge utadumu
 
tunasubiri kulisikiza na kulitazama na kulijadili na kuyajadili yale yatakayojadiliwa.
 
Msaada wadau!! Nawezaje kupata matangazo ya mkutano wa bunge online, iwe kwa tv au redio??
 
Bunge hili jamaa wamehamua kujifungia ndani peke yao.
TBC CCM hawana habari kinachoendelea Dodoma, au ndiyo ile kanuni ya Mkinda yakuchificha peke yao imeanza kufanyakazi leo!
StarTV wao wameparamia sherehe za watu! Wamekuwa wakenya leo, wanarusha matangazo ya sherehe za Uhuru Kenyatta
 
... Duh! Watanzania tunaporwa haki zetu hivi hivi!
Jamaa wamepania kupora kila kitu:
walianza na rasilimali zetu, sasa ni kupora uhuru wa habari!
 
siku 83 x posho ya 200,000 per day = 16,000,000/- Tafakari chukua hatua
 
Leo waheshimiwa Mr. kulala' watalala mpaka wawekewe dawa ya mbu, maana hawanahofu ya kuonwa na wananchi...
Heri yake mzee wa si ra ra sirara, atachapa usingizi mpaka basi.
 
Nilichoshuhudia kua hela zetu zinaliwa bure na hawa waheshimiwa ni leo bunge limekaa masaa ma4 halafu waahirisha mpaka kesho! Sasa hivi waheshimiwa wanakula Bata! Chezea Makinda weye?
 
bajeti ya kambi ya upinzani itakayowasilishwa imejaa vituko mambo ya kufikirika zaidi ya mwaka jana kaeni mkao wa kuona picha part two stering yuleyule bado hajafa
 
bajeti ya kambi ya upinzani itakayowasilishwa imejaa vituko mambo ya kufikirika zaidi ya mwaka jana kaeni mkao wa kuona picha part two stering yuleyule bado hajafa

Kweli wewe uko delusioned
 
Tunaomba Bunge lionyeshwe kwenye television ya taifa ili kila mtanzania aweze kujua yanayojili ndani ya Bunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom