Bunge: Mtikila ruksa kwenda mahakamani

Bunge: Mtikila ruksa kwenda mahakamani

Hili bunge kweli ni la kidemokrasia hata vichaa wamepewa wamo
 
Nina wasiwasi na mfumo wa Ubongo wa huyu anayejiita Mchungaji...

Kama bunge batili inamaana, wajumbe ni batili; pamoja na yeye na posho zote ni batili.

Amefata nini dodoma??

hahahahagah
 
Nina wasiwasi na mfumo wa Ubongo wa huyu anayejiita Mchungaji...

Kama bunge batili inamaana, wajumbe ni batili; pamoja na yeye na posho zote ni batili.

Amefata nini dodoma??

Shwain wewe.....changia hoja.
 
huyo ni mwehu, tayari alishakaa gerezani. hatujui wanyapara huenda walimkameroon
 
kitu gani kinachomsumbua tuambie sasa hili tujue mkuu
sasa ukikaa nacho nani atatumbia

zaidi ya kwenda mahakamani, hakuna analojua zaidi. kuna watu wapo kupinga tu. na yeye amegundua njia ya kumfanya asikike ki siasa. unafikiri mtikila bila mahakama nani atamjua kuwa ni mwanasiasa!
 
Mtikila kaanza sarakasi zake...sijui anataka nani ampooze kwa pesa? kwani ameshazungukia mafisadi wote kawalamba mihele...atakuja hukumiwa huyu jamaaa weee acha tu
 
kama wajumbe ni batili yeye si mmoja wao anafanya nini dodoma? naghani anawakilisha walemavu wa akili.
 
nheee, MUWE WAANGALIFU MNAPOMSEMA, NI USALAMA WA TAIFA HUYO, WANAMTUMIAGA KWENYE MAMBO NYETI SANA, KWA MFANO SASA HIVI WANATAKA KUMTUMIA KWENYE KURA YA WAZI. SHAURI YENU MIMI SIMO.
 
acheni kumsifia mtikila wkt yuko humo humo bungeni anakula posho hakutakiwa kupeleka jina lake ili achaguliwe maana tangu mwanzo alijua rais ndo atateua!hapo kidooooooogo ningemuelewa.
 
Mbona hakukataa huo uteuzi kama ulikuwa batili?

Huyu mzee nae Bangi zinamsumbua
 
Back
Top Bottom