mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Sidhani kama dodoma kuna watu wenye uwezo wa kuandika katiba
Naamini maneno ya Wanafalisafa kizazi kipya tena Watanzania kuwa wajumbe wa bunge maalumu wamepewa kazi wasiyokuwa na uwezo nayo.
Wananiacha hoi 6 aliposema waliotoka ndo hawana Uwezo wakati wao wanadhihirisha kwa matendo yao