VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Waziri aliyetenguliwa kwa ulevi Tanzania,Charles Kitwanga amefungua njia ya Bunge kuoneshwa live. Kitwanga,aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani,alionekana amelewa wakati akijibu maswali Bungeni. Kwasasa,kipindi cha maswali na majibu Bungeni huoneshwa moja kwa moja asubuhi.
Bunge kuwa live kuna faida nyingi kuliko hasara. Mojawapo ni kuwaona akina Kitwanga wakiwa wameshautwika kutokea upande wa Mawaziri na hata upande wa Wabunge. Kuonekana kwa Bunge kumemsaidia Rais. Kumetuonesha mlevi Bungeni. Wabunge wawe wazi waonekane muda wa maswali na mjadala!
Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam