Bunge Live June 25: Bajeti za Ofisi ya Waziri Mkuu/Kiongozi wa Upinzani Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge Live June 25: Bajeti za Ofisi ya Waziri Mkuu/Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arusha Mambo, Jun 25, 2012.

 1. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ili kusikiliza bonyeza hapa:

  http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&

  Redio ikifunguka usiache ku
  LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com
   
 2. Cable

  Cable Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunatarajia bajeti nzuri leo na zitakazoleta sinema mpya bungeni,
  Arusha Mambo nawapata kwa usikivu wenye uhakika, niko KIBONDO, hapa nilipo hakuna mawimbi ya Redio wa TV isipokuwa internet ambayo ndiyo inanisaidia kusikia bunge, hii akili sijui mmeitoa wapi, BIg UP!
   
 3. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vile vile inasikika vizuri kupitia Dullonet katika usikivu mzuri
  Dullonet Live
   
 4. b

  bdo JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  i think haitakuwa na jipya maana wote (wizara na ofisi zote) zinabanana kuchukua hizo trion 10 za matumizi alizolowasilishwa Mgimwa
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tuambien inasemaje?????me nategenea kuipata kupitia jf
   
 6. m

  mob JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  wakuu nashukuru sana kwa link yenu nawapata vizuri sana.
   
Loading...