Bunge lilimtuma Kikwete Addis Ababa kujiondoa ICC?

Bunge lilimtuma Kikwete Addis Ababa kujiondoa ICC?

Yaani viongozi wa Afrika wamefikia kiwango cha juu kabisa cha kufikiri? Kati ya maamuzi yao, sijasikia wakiamua Kuja na mpango wa kuhakikisha hawakiuki haki za binadamu na kuweka vigezo vya kulinda uhai, kuleta maendeleo na kuepuka ufisadi.

Viongozi hawa wanasahau kuwa wanaiba pesa huku na kuzificha kwa wazungu. Halafu wanataka wazungu wawaheshimu. Wananunua silaha na sumu toka ulaya.
 
Nataka bunge lijalo lihoji hii kitu. Je aliamua kwa niaba ya nani na kwa maslahi ya nani???
 
Back
Top Bottom