maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Wadau nawaza tu kuhusu yanayoendelea ktk nchi yetu je waziri mkuu atapona kama kweli makonda hatakuja dodoma kuhojiwa na kamati ya bunge kwa kidhalilisha bunge la jamhuri yetu ya muungano.
Asipokuja je kura ya kutokuwa na imani na wazir mkuu isipigwe kwa sababu gani? mimi nawaza tu je huo hautakuwa udhalilishaji mkubwa kuliko uliotangulia? Nauona mfarakano mkubwa bungeni ukitokea.
Naibu spika aliweza kuwanyamazisha wale wabunge wa upinzani na hili atajitokeza kuilinda serikali tena? Nahakika kabisa akina msukuma hawatanyaaza hata siku moja katika hili.
Karibuni wadau