Bunge Lijalo na Maendeleo ya Nchi Yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge Lijalo na Maendeleo ya Nchi Yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabi Sanda, Sep 14, 2010.

 1. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu,

  Uchaguzi Mkuu ndiyo huo unakaribia na wiki si nyingi tutapata Wabunge wetu toka kila kona ya nchi yetu pamoja na wale wa Viti Maalum.
  Kutokana na nafasi ya Bunge letu katika maendeleo ya nchi yetu, nini hasa matarajio yako kama Mtanzania katika Bunge lijalo na ungependa yapi yawe masuala makuu ya kujadiliwa na Bunge letu na kutolewa uamuzi na maazimio kwa ajili ya kutekelezwa na Serikali kuu? Na pia unafikiri nini hasa Wabunge wetu wanapaswa wafanye ndani na nje ya Bunge ili kuongeza ufanisi katika kazi zao?
   
Loading...