Bunge halina utukufu wowote, ufisadi mtupu. Na asilimia kubwa ya hao fisadi ni wabunge wenyewe ambao wanajenga bunge.
|
Namlaani Mwigulu na CCM yake Salehe Mohamed Tanzania Daima |
Tangu kuanza kwa phase II ya rais Kikwete na kwa mara ya kwanza Bunge letu kuongozwa na mwanamke tumeshuhudia vimbwanga vya kutosha. Sielewi tafsiri ya wanaccm kuhusu mwenendo wa bunge hili. Nachelea isije ikawa wanajidanganya kuwa umma utaendelea kuwalaumu wapinzani. Ukweli ni kwamba wananchi tuko makini kubaini chanzo cha tatizo. Tatizo ni Spika mama yetu Anna Makinda. Tunatamani ngwe ifike mwisho kuepusha upuuzi unaoeedelea usitue masikioni mwetu. Hata hivyo, tunashukuru maana kila inapotokea upuuzi unafanyika tunahamasika zaidi kuchagua chama kingine.