Bunge letu, inusuru Tanzania

Bunge letu, inusuru Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.

Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.

Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.

Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani kabla ya hapo kulikuwa na ugomvi na Kenya.

Wasikilizeni wa Kenya wanavyo tuchukulia .
 
Attachments

  • -1321371712.mp4
    46.6 MB
  • Screenshot_2025-05-27-11-15-55-16_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    Screenshot_2025-05-27-11-15-55-16_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    250.7 KB · Views: 16
  • -1408664297.mp4
    41.4 MB
  • 1409739948.jpg
    1409739948.jpg
    187.4 KB · Views: 15
Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.

Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.

Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.

Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani kabla ya hapo kulikuwa na ugomvi na Kenya.

Wasikilizeni wa Kenya wanavyo tuchukulia .
Ukijuwa maana ya bunge utagundua kwamba Tanzania hatuna bunge Bali tuna kanisa kubwa la kumsifia raisi na serikali Kwa ujumla bhasi.
 
wao lazima watulie....kwa sababu wao ndo wameingilia affair zetu
 
Ndiyo chanzo Cha umasikini wetu.Kidogo wakati wa Samweli sita waliweza kutusaidia wananchi.
 
Ukijuwa maana ya bunge utagundua kwamba Tanzania hatuna bunge Bali tuna kanisa kubwa la kumsifia raisi na serikali Kwa ujumla bhasi.
Inasikitisha sana yaani,mbunge unashindwa kujua kuwa neno lako moja tu linaweza kuuwasha moto
 
Mm
Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.

Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.

Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.

Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani kabla ya hapo kulikuwa na ugomvi na Kenya.

Wasikilizeni wa Kenya wanavyo tuchukulia .
Mmeambiwa ni Kanisa, siyo bunge
 
Tanzania kwasasa hatuna wabunge kwa maana wawakilishi wa wananchi.

Wabunge waliopo waliteuluwa na marehemu Magufuli, hakuna aliyechaguliwa, hivyo wote ni wabunge wa viti maalumu wanatetea maslahi yao, chama chao na rais wao.

Siku tukichagua wabunge tutakuwa na wabunge wa wananchi watakao tetea nchi siyo mtu.
 
Back
Top Bottom