Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Tanzania, Mbunge ambaye ni mlemavu wa macho, Zuleikha Yunus Haji, amewasilisha taarifa ya ripoti ya kamati. Alikuwa anawasilisha ripoti ya kamati kuhusiana na kazi zilizofanywa na wizara ya maendeleo ya jamii na maoni ya kamati kuhusiana na bajeti ya wizara kwa mwaka huu wa fedha.
Amesiwa sana na Spika
Amesiwa sana na Spika