ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,488
- 88,628
- Thread starter
- #21
Subiria cement ianze kupanda ndio utajua hiyo hongera inakusaidia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiria cement ianze kupanda ndio utajua hiyo hongera inakusaidia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sio bunge la wananchi bali genge la machawa na mafisadiHongera Serikali na hongera Waziri wa Fedha,Sasa kazi ianze
--
Bunge la Tanzania leo limepitisha bajeti kuu ya Serikali kwa 95% ambayo ni sawa na kura 354 za Wabunge.Hii leo Wabunge waliokuwa bungeni ni 374, 18 hawakuwepo bungeni, ukimuondoa Spika, na kura za ndio ni 354, kura za hapana 0 na 20 ni kura zisizokuwa za uamuzi.
Kwa nini?Hilo sio bunge la wananchi bali genge la machawa na mafisadi