Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,859
Kamati ya bunge ya serekali za mitaa imesema.Swala la wakuu wa wilaya na mikoa kuweka watu ndani ovyo na kuwazalilisha sio utawala bora.Wameshauri wakuu hao wapewe semina elekezi maana wamekuwa wakiwazalilisha watumishi wa umma bila sababu.Wamemtolea mafano Makonda kwa kumzalilisha mama mmoja akiwa kwenye ziara ya mkoa wa Dar.
Source:ITV habari
-Tundu lissu alishayasema haya kwenye bunge la bajeti mwaka jana.Wabunge wa ccm wakamzomea."Na kuimba."Hapa kazi tu."Leo wamekubali.
Source:ITV habari
-Tundu lissu alishayasema haya kwenye bunge la bajeti mwaka jana.Wabunge wa ccm wakamzomea."Na kuimba."Hapa kazi tu."Leo wamekubali.