nizzo complex
New Member
- Feb 8, 2012
- 3
- 0
Masuburi ana maana gani kuongea maneno mazito kama hayo,inawezekana kukawa na jambo kati yao masuburi na wabunge,si bure.
Bunge siku zote lilikuwa wapi wameeona neno masaburi limepata umaarufu hapa JF ndio wameanza kujitutumua.
Kwa nini usiweke kwanza picha ya Masaburi yako! Kabla ya kutaka ya wenzako (LoL!)
heading ingesomeka hivi: bunge lajadili masaburi!
Uki google MASABURI utapata hii
![]()
Ingekuwa vema ukaweka na picha ya Masaburi tukamjua
Ingekuwa vema ukaweka na picha ya Masaburi tukamjua
Wewe unatumia avatar hata hujui ni picha ya nani?
Kwa nini usiweke kwanza picha ya Masaburi yako! Kabla ya kutaka ya wenzako (LoL!)
Kamati ya bunge ya Haki,Maadili na Madaraka ya bunge imeanza kujadili pamoja na mambo menginekauli ya Meya wa jiji la Dsm Dr DIDAS MASABURI baada ya kutukanabaadhi ya wabunge wa Dar es salaam kuwa wanafikiria kwa kutumia makalio.
Naibu spika wa bunge Job Ndugai amekiri kamati hiyo kukutana jana na leo kujadili suala hilo.
meya huyu amekuwa maarufu sana hapa JF ambapo wana jukwaa wamekuwa wakitumia msemo huo kuwakejeli wenzao.
source:Habari leo.
Kujadili na kuchukua hatua ni vitu viwili tofauti. Tumeona managapi yamejadiliwa na kuekewea mapendekezo lakini mpaka leo kimya ! Tunataka bunge lenye meno sio hili la blah blah.
Mathematically,Kamati ya Bunge ni seti ndogo ya Bunge (Sub set).Lakini BUNGE na KAMATI YA BUNGE ni vitu viwili tofauti sana!
Duh! Kwa kweli alitoa tusi lisilo la kitaasisi na anastahili kufundishwa nidhamu ya kiuongozi. Kama mimi nilisema ukweli tu niko mbioni kufukuzwa chamani, iweje kwa huyu kigogo aliyesema watu wanafikiria kwa kutumia 'Masaburi?' Maana watu hufikiria kwa kutumia brain, na ukiambiwa tu kwamba unafiiria kwa kutumia spinal cord (ambayo ni mfumo huo huo wa fahamu) unaweza kupigana, vipi ukiambiwa unatumia 'muscles za makalio' kufikiri??? Nadhani ni sawa na mtu kukuambia hauna ubongo kabisa!