Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,630
- 2,738
Kumbe ndio maana uwa ikipitishwa hoja ata kama haina tija kwa taifa utasikia Ndiyooooooooo................!!!!!!!!!!!!!
Yule wa Bahi alirudi kwa kishindo na chama chake CCM kilimpongeza kwa kushinda kesi iliyodumu miaka mitatu huku mkurugenzi aliyemdakisha akihamishwa huku na huko na kunyanyaswa.sijui wananchi wao wanajisikiaje?
Miaka miaka 5 ijayo utasikia karudi tena mjinga mjinga kama huyu
Soma thread tena utanielewa tu mkuu ila hoja yangu kwa faida ya wengine ni kua kama walinzi wanakiuka maadili ya ulinzi nani mwenye jukumu la kuwalinda? Bunge ndilo lenye majukumu ya kuisimamia serikali lakini kwa sasa serikali ndio inayolisimamia bunge hiyo sio sawa...haki ya mwananchi inawekwa rehani..Sijajua kama unataka kujenga hoja ya kuwa wanaonewa kwa makosa waliyofanya? Au hawastahili kuchukuliwa hatua yoyote kwa kuomba rushwa.? Fafanua nini hasa hoja yako
Wabunge wote wanao tuhumiwa kwa rushwa ni wa ccm,ni aibu sana kwa jamii ya watanzaniaKuna kauli ya kiingereza hua inatumika katika kuuliza swali kama nilivyoainisha katika title ya uzi huu wakisema " Who will watch the Watchmen" nimejaribu kupata tafsiri sahihi lakini sikuweza kuja na zaidi ya hii " Nani atalinda walinzi"
Swali hili ni muhimu kwa wakati huu ambao, tumekua tukiona baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania wakipandishwa kizimbani kujibu tuhuma za rushwa dhidi yao.
Msingi wa swali unaendana na jukumu kuu la Bunge kua ni kuisimamia na kukosoa serikali. Bunge ni mkusanyiko wa wananchi hivyo lina sauti ya wananchi wote wa tanzania na hivyo kila anayechaguliwa kuwawakilisha watu wake anabeba sura na sauti za hao waliomchagua.
Kwa mbunge kujihusisha na tuhuma za rushwa kwa namna moja ama nyingine ni ukiukwaji mkubwa wa maadili na unaharibu sura ya bunge kwa ujumla wake.
Mbunge anatakiwa kuikosoa serikali na sio serikali kuanza kulikosoa bunge kama inavyoonekana sasa. Kama inafikia mahali serikali imekua ndio ikilikosoa bunge tunakoelekea na wapi.
Hii sio mara ya kwanza kwa serikali kuikosoa bunge nakumbuka pia wakati wa ufunguzi wa Bunge Mh. Rais aliamuru kiasi kikubwa cha fedha zilizokua zitumike kwa ajili ya sherehe ya ufunguzi zitumike kununulia vitanda hospitali ya Taifa Muhimbili.
Ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu utaona kwamba, kwa kipindi kirefu hoja nyingi zilizokua zikitolewa Bungeni haziakisi matakwa ya wanyonge ambao ndio walengwa wakuu bali haki za wachache wenye uwezo wa kutoa rushwa ili mambo yao yapite.
Kama Bunge limekiuka misingi yake ya kuisimamia na kuikosoa serikali kwa kujihusisha na rushwa , nani atawalinda walinzi hawa wa haki za wananchi. Je ni serikali ambayo ndiyo inayotakiwa kusimamiwa na kukosolewa? hapana.
Nachelea kuona ni kwa namna gani kama taifa tutatengeneza mifumo ambayo walinzi wa haki nao watapata watu wa kuwalinda ili wasimamie haki za wengine ipasavyo.
Naona wewe unajitokeza kuwatetea wala rushwa!Soma thread tena utanielewa tu mkuu ila hoja yangu kwa faida ya wengine ni kua kama walinzi wanakiuka maadili ya ulinzi nani mwenye jukumu la kuwalinda? Bunge ndilo lenye majukumu ya kuisimamia serikali lakini kwa sasa serikali ndio inayolisimamia bunge hiyo sio sawa...haki ya mwananchi inawekwa rehani..
Hapana mkuu ni aibu kwa jamii ya wanaccmWabunge wote wanao tuhumiwa kwa rushwa ni wa ccm,ni aibu sana kwa jamii ya watanzania
Kuna kauli ya kiingereza hua inatumika katika kuuliza swali kama nilivyoainisha katika title ya uzi huu wakisema " Who will watch the Watchmen" nimejaribu kupata tafsiri sahihi lakini sikuweza kuja na zaidi ya hii " Nani atalinda walinzi"
Swali hili ni muhimu kwa wakati huu ambao, tumekua tukiona baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania wakipandishwa kizimbani kujibu tuhuma za rushwa dhidi yao.
Msingi wa swali unaendana na jukumu kuu la Bunge kua ni kuisimamia na kukosoa serikali. Bunge ni mkusanyiko wa wananchi hivyo lina sauti ya wananchi wote wa tanzania na hivyo kila anayechaguliwa kuwawakilisha watu wake anabeba sura na sauti za hao waliomchagua.
Kwa mbunge kujihusisha na tuhuma za rushwa kwa namna moja ama nyingine ni ukiukwaji mkubwa wa maadili na unaharibu sura ya bunge kwa ujumla wake.
Mbunge anatakiwa kuikosoa serikali na sio serikali kuanza kulikosoa bunge kama inavyoonekana sasa. Kama inafikia mahali serikali imekua ndio ikilikosoa bunge tunakoelekea na wapi.
Hii sio mara ya kwanza kwa serikali kuikosoa bunge nakumbuka pia wakati wa ufunguzi wa Bunge Mh. Rais aliamuru kiasi kikubwa cha fedha zilizokua zitumike kwa ajili ya sherehe ya ufunguzi zitumike kununulia vitanda hospitali ya Taifa Muhimbili.
Ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu utaona kwamba, kwa kipindi kirefu hoja nyingi zilizokua zikitolewa Bungeni haziakisi matakwa ya wanyonge ambao ndio walengwa wakuu bali haki za wachache wenye uwezo wa kutoa rushwa ili mambo yao yapite.
Kama Bunge limekiuka misingi yake ya kuisimamia na kuikosoa serikali kwa kujihusisha na rushwa , nani atawalinda walinzi hawa wa haki za wananchi. Je ni serikali ambayo ndiyo inayotakiwa kusimamiwa na kukosolewa? hapana.
Nachelea kuona ni kwa namna gani kama taifa tutatengeneza mifumo ambayo walinzi wa haki nao watapata watu wa kuwalinda ili wasimamie haki za wengine ipasavyo.
Sijui umeiona point yangu hapa mkuu kwamba serikali ambayo ndio ilikua ikosolewe na bunge sasa ndio inayolokosoa bunge kwa mwenendo huo haki ya mwananchi wa kawaida inalindwa na nani? je kuna namna yoyote ile ya kuilinda haki ya wanyonge kama walinzi wa haki zao nao wanakiuka misingi yao? nilitegemea mjadala wa namna gani tunaweza kuilinda haki ya myonge katika mazingira kama haya.Kuna mtu aliye juu ya sheria? Kama wanaomba na kula rushwa wasiguswe sababu wao ni wabunge? Makosa ya jinai hayana immunity. Ni kuyaepuka tu. Wana siasa ndio wamekuwa wa kwanza kuiletea matatizo nchi yetu sababu ya kuwa vinara wa rushwa. Sioni ni kwanini wasiende mahakamani kujibu tuhuma zao na kujisafisha.
Sijui umeiona point yangu hapa mkuu kwamba serikali ambayo ndio ilikua ikosolewe na bunge sasa ndio inayolokosoa bunge kwa mwenendo huo haki ya mwananchi wa kawaida inalindwa na nani? je kuna namna yoyote ile ya kuilinda haki ya wanyonge kama walinzi wa haki zao nao wanakiuka misingi yao? nilitegemea mjadala wa namna gani tunaweza kuilinda haki ya myonge katika mazingira kama haya.
Soma thread tena utanielewa tu mkuu ila hoja yangu kwa faida ya wengine ni kua kama walinzi wanakiuka maadili ya ulinzi nani mwenye jukumu la kuwalinda? Bunge ndilo lenye majukumu ya kuisimamia serikali lakini kwa sasa serikali ndio inayolisimamia bunge hiyo sio sawa...haki ya mwananchi inawekwa rehani..
Ninategemea vile vile baada ya hili saga kufikia mwisho spika wa bunge ajaribu kutafuta namna ya kusafisha nyumba yake ili kurudisha imani iliyopotea toka kwa wananchi walio wengi ambao sasa kila mbunge anayesimama wanawasiwasi kama anasimamia haki yao au katumwa na kina flani...Katika hali ya kawaida tulitegema hivyo...ila tusidanganyane mambo hayako hivyo. Tuko kimaslahi zaidi. Ndio maana kashfa zote hizi zimeweza kukaa miaka na miaka bila kufanyiwa chochote sababu ya collusion. Nilitegemea bunge lingeamua kufanya kazi yake ili serikali isilale. Sasa kama mambo yenyewe ni kupiga deals tunategemea la maana hapo?
Pengine baadhi ya wabunge tulio wachagua hawajui wanatakiwa kufanya nini. Tuangalie kwa mlengo huo pia.
sasa ni kwa namna gani tunaweza kuwawajibisha ili kuondoa mgongano wa maslahi baina ya serikali na bunge ukizingatia kua bunge pekee ndio mhimili wenye jukumu la kusimamia mihimili mingine kwani ndio chombo pekee kilichoundwa na wananchi.Walinzi wenyewe wakikiuka kanuni za ulinzi si inabidi wawajibishwe? Huko ndo kulinda maana yake, wametokana na mchakato usio wa haki, wanaedelea kutekeleza majukumu kinyume na viapo vyao, wanawakandamiza wale waliowachagua kuwalinda na kuwatetea, wanajali matumbo yao na ndugu zao na siyo wale wamama waliogawiwa khanga na vitambaa kwenye kampeini.
Kama serikali imeona liwalo na liwe heri lawama kuliko fedhea basi wacha ifanye hivyo maana inatekeleza yale wale wa upande wa pili waliyokuwa wakipigania. Msimamo wangu lakini.
Ili kuondoA rafu zote hizi chama cha mapinduzi kinatakiwa kufa Na kuzikwa juu milima ya usambaa,sasa ni kwa namna gani tunaweza kuwawajibisha ili kuondoa mgongano wa maslahi baina ya serikali na bunge ukizingatia kua bunge pekee ndio mhimili wenye jukumu la kusimamia mihimili mingine kwani ndio chombo pekee kilichoundwa na wananchi.
ccm wote majizi tuu hamna loloteSoma thread tena utanielewa tu mkuu ila hoja yangu kwa faida ya wengine ni kua kama walinzi wanakiuka maadili ya ulinzi nani mwenye jukumu la kuwalinda? Bunge ndilo lenye majukumu ya kuisimamia serikali lakini kwa sasa serikali ndio inayolisimamia bunge hiyo sio sawa...haki ya mwananchi inawekwa rehani..
Kwanini iwe milima ya usambaa na sio ya uluguru au KilimanjaroIli kuondoA rafu zote hizi chama cha mapinduzi kinatakiwa kufa Na kuzikwa juu milima ya usambaa,
milima ni milima tu hata huko kwafaa, au ulikuwa na maana nyingine wewe kadaKwanini iwe milima ya usambaa na sio ya uluguru au Kilimanjaro