Bunge la Ukraine liliponuka/

Hata pale Dodoma bado kidogo sana, na hivi ndugai ameshasema hatamgusa mbuge yeyote.......!
 

siku c nyingi tutashuhudia wa hapa kwetu nao
wakinyongana kwa tai kama wenzao!!
 
natamani ile picha ya pili yule awe pinda..ataliajeeee
 
Hivi vile vizee vya CUF kweli vinaweza kuzipiga na majembe ya Chadema? Mbona hawakumgusa Wenje wakabaki na mipasho ya kusemea puani tu? Yahe huyo Wenje apigwe! Walah ntamumiza ntu mie!
Kuweka adabu sana wakati mwingine kichapo kinafaa kutumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…