Bunge la Somalia lashambuliwa

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,886
2,000


Milipuko na risasi zimesikika huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa mjini Mogadishu wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.
Taarifa zaidi zinakujia hivi punde
===========================

Milipuko na risasi zimesikika katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa, wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.
Haijajulikana waliofanya mashambulizi hayo ambayo bado yanaendelea.

Bunge la kwanza rasmi la Somalia lilianza kufanya kazi miaka miwili iliyopita tangu Somalia kutumbukia katika vita mwaka 1992.
Serikali ya Somalia imekuwa ikiendesha vita dhidi ya kundi la kiisilamu la al-Shabab ambalo lilitimuliwa kutoka mjini Mogadishu mwaka 2011.
Bunge hilo, ambalo huendesha vikao vyake mjini Mogadishu limewahi kushambuliwa ikiwemo mwaka 2009 na 2010.

Mwezi jana Mbunge mmoja aliuawa kwa kulipuliwa huku mwingine akipigwa risasi na kuuawa katika mashambulizi mawili tofauti.
Wanajeshi 22,000 walio chini ya muungano wa Afrika wanasaidia vikosi vya Somalia kupambana na Al Shabaab.
Ingawa kundi hilo limepoteza udhibiti mkubwa wa miji kadhaa nchini Somalia, bado linadhibiti maeneo mengi ya vijijini.


Source:BBC
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000
Bunge la Somalia lashambuliwa
24 Mei 2014



Wabunge wawili wameuawa chini ya mwezi
mmoja
Milipuko na risasi zimesikika katika mji mkuu
wa Somalia Mogadishu huku majengo ya
bunge la Somalia yakishambuliwa, wabunge
wakiwa ndani kwa mkutano.
Haijajulikana waliofanya mashambulizi hayo
ambayo bado yanaendelea.
Bunge la kwanza rasmi la Somalia lilianza
kufanya kazi miaka miwili iliyopita tangu
Somalia kutumbukia katika vita mwaka 1992.
Serikali ya Somalia imekuwa ikiendesha vita
dhidi ya kundi la kiisilamu la al-Shabab
ambalo lilitimuliwa kutoka mjini Mogadishu
mwaka 2011.
Bunge hilo, ambalo huendesha vikao vyake
mjini Mogadishu limewahi kushambuliwa
ikiwemo mwaka 2009 na 2010.
Mwezi jana Mbunge mmoja aliuawa kwa
kulipuliwa huku mwingine akipigwa risasi na
kuuawa katika mashambulizi mawili tofauti.
Wanajeshi 22,000 walio chini ya muungano
wa Afrika wanasaidia vikosi vya Somalia
kupambana na Al Shabaab.
Ingawa kundi hilo limepoteza udhibiti mkubwa
wa miji kadhaa nchini Somalia, bado
linadhibiti maeneo mengi ya vijijini.




BBC Swahili


Mshirikishe mwenzako
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,091
2,000
Poleni sana Ndugu zetu, ni hatari sana mazungumzo yanapofikia mwisho na uvumilivu kukosa kikomo
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000


Milipuko na risasi zimesikika huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa mjini Mogadishu wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.
Taarifa zaidi zinakujia hivi punde
===========================




Source:BBC
[/QUOTE.... Kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Al Shabaab
limeshambulia bunge la Somalia na
kusababisha vifo vya watu kadhaa mjini
Mogadishu.
Milipuko na milio ya risasi imesikika huku
bunge likishambuliwa, wabunge wakiwa ndani
kwa mkutano.
Gari lililokuwa na mabomu lilipuka leo kabla
ya saa sita mchana na kufuatiwa na milipuko
mingine pamoja na milio ya risasi.
Wabunge pamoja na wafanyakazi wengine
waliweza kuokolewa punde baada ya gari
kulipuka.
Mashambulizi hayo bado yanaendelea huku
wapiganaji hao walifyatua risasi wakiwa ndani
ya msikiti mmoja karibu majengo ya bunge.
 

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,512
2,000
Hahaha KDF ni janga

Wawaige JWTZ walivyowatimua kina Kagame Kongo

uongo MUNISCO ni majeshi toka mataifa mengi.JKT ni tone pale DRC. hawana direct command on the ground.this is empty noise.Further the fellows fighting in DRC cant be compared with AL QAEDA funded al shabaab in somalia.
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,415
2,000
uongo MUNISCO ni majeshi toka mataifa mengi.JKT ni tone pale DRC. hawana direct command on the ground.this is empty noise.Further the fellows fighting in DRC cant be compared with AL QAEDA funded al shabaab in somalia.

Tulipeleka JWTZ and besides uliza ni nani alie kuwa mstari wa mbele kwenye mapambano
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,415
2,000
what a dumb statement.first ignorance has no defence.kenya haipo mogadishu sector.pili command ipo chini ya AU not kenya.Tatu jeshi lenu lipo chi ya MUNISCO/UN DRC. sasa tukulize mbona DRC kuna shida bado, mbona hawajarejea nyumbani JKT.

Waulize hao M23 wapo wapi sasa hivi, unasikia hata wanaongea?

Ila al shabab wanawapiga mkwara na wanafanya kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom