Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Kwa sisi tulio nje ya mjengo kwa kutazama tu katika runinga mapema kabisa hata kabla ya vikao kamili kuanza kwamba tumeanza kuona dalili za wazi za mwelekeo wa mgawanyiko wa haraka haraka kwenye makundi makuu mawili ya sisiemu (A+B+C+TLP+NCCR+UDP+ETC) Kundi moja lenye nguvu kubwa ya wingi wa kura kama ngao ya kujihami; na upande wa pili CDM kama kundi lenye nguvu ndogo ya kura lakini lenye kujiamini kwa rasilimali ya nguvu kubwa sana ya talent na uwezo wa kufanya well researched issues na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa matokea ya tafiti hizo kutokana na fani ya sheria ya wengi wao!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pia CDM wamekuja wakiwa tayari wana orodha ndefu za kero za msingi za kuondoa ili jamii yetu iweze kupiga hatua ya maendeleo ya haraka-kero ambazo nyingi yake ziko deep rooted ndani ya culture ya sisiemu km kero za ufisadi na tatizo la rushwa!!!!!!!!!!! ambazo haitakuwa rahisi kupata quick understanding and support!!!!!!!!!!!!!!!
Miongoni mwa ninayoweza kuona kwa haraka ni haya:-
1) Sisiemu na kundi lake kubla la nguvu ya kura kuegemea kutafuta kujihami kwa kushinda kwa wingi wa kura , kiasi cha huenda hata mara nyingi kuweza kupinga hoja zenye mwelekeo wa kupinga hoja za msingi zenye malengo ya kuondoa mizizi ya maovu sugu katika jamii, hasa pale ambapo shutuma zitakapokuwa zinaelekezwa kwa serekali!!!!!!!!!!!
2) Ninavyowaelewa CDM ni hodari kwa kutafiti kwa kina na watumiaji wazuri wa matokeo ya tafiti, na wanaelekea kujiandaa kweli kweli kutumia tafiti hizo kujenga hoja zenye mwelekeo wa kuirekebisha serekali katika mambo mengi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
3) Wabunge wengi wa CDM ni wanasheria-watakuwa wepesi kutafiti, kuelewa na kujenga hoja, ambazo kwa upande wa sisiem itawapa shida:
4) Ni rahisi kuongoza kundi dogo kufanya mambo makubwa kuliko kundi kubwa la sisiem(A+B+C+....)
CDM ni serekali kivuli, hivyo kuwa na nguvu kubwa ya kisheria ndani ya bunge!!!!!!!! Tukumbuke huko nyuma tumekuwa na kambi ya upinzani; sasa rasmi tuna shadow govt in the parliament.
All in all tunawatakia waheshimiwa wote kila la kheri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!