Bunge la Ndugai limeuza madaraka yake mamlaka yake Ikulu

Nilijaribu kuangalia profile ya wajumbe wa Kamati kwenye website ya Bunge ili niweze kujiridhisha kama wana uwezo na upeo wa kufanya hiyo kazi ya uchunguzi.
Sikuweza kupata elimu ya Zungu. Hebu nisaidieni anayejua ili niweze kumalizia assessment yangu
 
Mimi hofu yangu ilikuwa kwa mtu mwenye ugonjwa mkubwa unaohitaji matibabu marefu kiasi kile .kuja kuendelea kuongoza nafasi ya juu yakutoa maamuzi .nafasi inayo hitaji afya njema ya akili na mwili .huku kuna ukweli Wa kisayansi kutatizika afya ya mwili na haswa kutokana na magonjwa sugu kuna athiri afya ya akili .hili kwangu imebakia hofu hiyo ataa mpaka na Leo .na hata ukimwangalia vizuri sia yake imebadilika sana kabla na baada ya matibabu aiko vema
yule bado mgonjwa, hivi alikuwa anaumwa nini



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sasa mihimili mikuu bunge na mahakama imeshatekwa rasmi na mhimili ule uliojichimbia ndani zaidi. ndugai na wabunge wamejisalimisha selikalini.
 
Back
Top Bottom