Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
Mkuu watanzania tunashida sana,kwa jumla hakuna cheo cha urais Tanzania kama katiba ya JMT 1977 haipo.Rais kuisigina katiba ya nchi kwa maana yoyote ile maana yake hastahili kuendelea kuwepo kwenye ofisi ya wamiliki wa hiyo katiba aliyoisigina.Probably shida si rais au bunge,shida kubwa ni sisi.Hakika Marekani wameonyesha njia.......
Kwamba ni wajibu wa Rais aliyeko madarakani kuitii na kuiheshimu Katiba ya nchi aliyoapa kuitii kabla hajaingia madarakani
Kuisigina Katiba ya nchi waziwazi kama afanyavyo Jiwe, hakika ni lazima impeachment imuhusu