Bunge la Marekani linamwajibisha Trump

Bunge la Marekani linamwajibisha Trump

Kama ulifatilia vizuri utagundua kwamba hata hao mabeberu wameweka mbele maslahi ya chama kuliko utaifa.
Na kama huliamini hilo tusubiri maamuzi ya masenata mwezi wa kwanza.
Hii ndo size yetu na hilo la kutanguliza maslahi ya chama likitokea ? utaona wanaccm watakavyokuja na nyuzi ndefu za tujifunze US.nk
 
USA wamenifundisha jambo fulani muhimu - mwanzo nilitaka kumlaumu Obama kwa nini hakuleta misaada mingi East Africa hususani Kenya wakati wa utawala wake.

Kumbe kila hatua ya Rais inapimwa na kujadiliwa. Najiuliza hivi Marais wetu, Mabunge yetu, na Mabaraza ya kimahakama wana jambo la kujifunza toka nchi zilizoendelea?

Kwa nchi kama Tanzania siku akitokea rais mnyimifu na mbinafsi atahamisha rasilimali za nchi kuwa zake, za mkoa wake na hakuna hatua zitakazochukuliwa dhidi yake
Atokee mara ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom