karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
Acha bangi mkuu kwanini unaongea bangibangi kwa namna hii.CCM wakubali kushindwa? Yaani hawa watu hata ukiwaambia Wako uchi, kamwe hawatakubali!!!!! Sijui ni uchizi au nini Sijui, Yaani hata uende ukawavute na "biology" kuwathibitishia kuwa Wako uchi bado watakataaa.
natamani kucomment lakini naogopa, mpaka hii ithibitishwe kwanza.
Acha bangi mkuu kwanini unaongea bangibangi kwa namna hii.
Hata mwaka 2010 kulikuwa na statement kama hizi!CCM Waache wa rukeruke tu,2015 tutakutana kwenye sanduku la kura.
Sr. Magdalenathanks for this!, jf be the first to know!.Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
Hata mwaka 2010 kulikuwa na statement kama hizi!
kwani 2010 matokeo yalikuaje?
Yalikuwa mazuri kwa chadema kutoka wabunge wa5 mpaka 40 na
Kwa maccm hilo swala ni gumu snaa