Bunge la katiba kuahirishwa muda si mrefu.

Technician

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
841
Reaction score
224
Kwa mujibu wa mawazo yanayonijia kichwani kuna kila sababu za kuahirisha mjadala wa katiba mpya mpaka maridhiano yatapopatikana kati ya makundi mawili ya kisiasa yanayovutana TAKWA na UKAWA.
Sababu ninazoziona:

  1. Katiba ni muafaka wa kitaifa zaidi na si sheria wala akidi.
  2. Katiba ni ya wananchi wote wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na si ya kundi moja.
  3. Najua Mh Rais anatafakara kwa kina na kuendelea kupata ushauri toka vyanzo mbalimbali vya makundi ya wananchi wenye maslahi tofauti tofauti kwenye jamii kuahirisha kikao kwa maslahi ya Taifa.Tumpe muda wa kutafakari.
 
ni bora wakauchinjia mbali huu mjadala hadi pale tutakapopata prezdaa mwenye akili zake timamu maana huyu aliyepo ni majanga kuliko maelezo.
 
Kwa mujibu wa mawazo yanayonijia kichwani kuna kila sababu za kuahirisha mjadala wa katiba mpya mpaka maridhiano yatapopatikana kati ya makundi mawili ya kisiasa yanayovutana TAKWA na UKAWA.
Sababu ninazoziona:

  1. Katiba ni muafaka wa kitaifa zaidi na si sheria wala akidi.
  2. Katiba ni ya wananchi wote wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na si ya kundi moja.
  3. Najua Mh Rais anatafakara kwa kina na kuendelea kupata ushauri toka vyanzo mbalimbali vya makundi ya wananchi wenye maslahi tofauti tofauti kwenye jamii kuahirisha kikao kwa maslahi ya Taifa.Tumpe muda wa kutafakari.

Kichwa gani maji maji utakuwa na mawazo mazuri tokalini?
 
Wajamenii.. Mbona mzee lowassa simsikii kuchangia lolote katika mjadala wa katiba bungeni?? Au yeyee anaagenda yake special tu ndio anaisubiria ikianza tu.. Ndo tutamuona?
 
jamani 6 hata ubalozi wa nyumba kumi jana kadhibitisha hawezi anagombana na The SuperBrand namba moja ITV anamjua Dr. Mengi au anamsikia na anajua Watanzania anaosaga fedha zao.
 
Hivi leo BMK haliko hewani? Halafu ile iliyotangazwa humu JF kuhusu kuahirishwa, je ni kweli?
 
Back
Top Bottom