Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,167
- 6,102
DahKuanzia leo wateja zangu wote,, wengine mpo humu, skanka mzigo mpya huo ila imepanda bei,, mana sasa ishakuwa jinai,, nadhani tumeelewana, sio tena uje uanze kuleta songi songi, mahakamani napanda peke yangu, uji ntaenda kuunywa peke yangu,, yani majani haya sijui kwa nini serikali ya nchi hii ina chuki nayo, wakati haya ni majani kama majani mengine
View attachment 1929705
unaangalia mapato tu bali huangalii athari .Huu ni miongoni mwa muswada mbovu sana kupitishwa.
Muswada huu unainyima nchi fursa ya kupata mapato ambayo yangetokana na kilimo na uuzaji wa bidaa hizo pendwa duniani.
na Pili tunaongeza mzigo kwa Mahakama kuu bila sababu za msingi. Maana yake sasa hata yale mateja ya pale River Side na Ubungo Terminal n.k yanatakiwa kesi zao za misokoto njaa itolewe uamuzi Mahakama kuu.
Athari zipi? Nchi zinazoruhusu hayo mambo zina faida/hasara ipi?unaangalia mapato tu bali huangalii athari .
dunderhead
Hatari imezidi saana mtihani kwa taifaSio sawa bangi ni dawa
Kila siku hoja zao za hovyo hovyo tuu wakitoka kidogo ni kumjibu Gwajima na kamati yao Dunia ipo kwenye janga la ugonjwa wao hilo hawalijui ili kuhadili jinsi ya kwenda na mazingira haya maana biashara imeshuka hata wao waweke kodi rafiki kwa Wananchi ndio kwanza wanakija na Tozo pana watu hapo si bora hata Bunge lisiwepo Nchi itaenda vizuri tu..Wanaacha mambo ya msingi wanaelekeza nguvu kwenye mambo ya kipumbavu
Lingekuwa ni bunge la wananchi lingeangazia kuhusu rushwa, uvunjifu wa haki za binadamu na utawala wa sheria katika kila engo
Nataka uniambie tofauti ya mlevi wa pombe, mvuta bangi na mla mirungi na kati ya hawa watatu ni yupi kwako hana madhara katika jamii ikiwa inabidi atumie moja kati ya hayo.Sheria nzuri, Tanzania tumechagua kukataa bangi na mirungi hivyo lazima tuwe na sheria kali kukomesha hilo. Wanaopinga sijui shida iko wapi?
Hakuna athari zozote zaidi ya hawa walevi waliotujazia kila sehemu mipombe mingine watu wakilewa wanaokotwa kwenye mitaro choka mbaya na afya zinadororoa na kuna walevi wana starehe tu wanakunywa kwa kiwango wako vizuri ila sijawahi kusikia mtu kala mirungi kaokotwa nje huko ni starehe tu na hakuna lolote. Ujinga tu wakiulizwa mtaje athari zake hamna. badala ya kujikita kupigana na madawa ya kulevya kama cocaine yenye athari za wazi kwa vijana mnaongeza mambo hayana ubaya wowote.Athari zipi? Nchi zinazoruhusu hayo mambo zina faida/hasara ipi?