Bunge la EAC lavunjika Dar es Salaam

Lakini wakae wakijua sisi ndo mabingwa wa siasa za mitaroni na kukamiana soon watapoteana,icheze Tanzania kwenye mambo mengine ila sio siasa na mipango ya kupotezana
Mkuu hawajajua vizuri figisu za wabongo hao. Tukizianza wataimba poo!
 
Mkuu wala hakuna sababu za kuwatetea! Maandishi ya habari siku hizi ni div 5! Zamani ukitaka kuhua Kiswahili vizuri basi unakuwa mpenzi wa magazeti, huko utajifunza kiswahili kilichoshiba! Eti bunge limevunjika, Mimi nikafikri labda zimepigwa ngumi lijavunjika kwa vurugu! shenzi kabisa hawa na mhariri wao naye in mburura!
 
mambo yote haya unapaswa kumweleza lema na mwenyekiti wako mbowe wao ndiyo wachafuzi wa Arusha kwa kufadhiri mipango michafu na kufanya vurugu kila siku kwa kujitega mabomu na kujiteka.
 
mambo yote haya unapaswa kumweleza lema na mwenyekiti wako mbowe wao ndiyo wachafuzi wa Arusha kwa kufadhiri mipango michafu na kufanya vurugu kila siku kwa kujitega mabomu na kujiteka.

Ninapaswa kupata majibu kutoka serikali ya CCM yenye vyombo vya dola na wenye wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama kwanini hao "wahalifu" Lema na Mbowe wanaovuruga Jiji la Arusha hawapo jela hadi dakika hii...huoni tuna serikali ya kizembe?:cool2:
 
Kuna haja la wamiliki wa jamiiforums kuanzisha jukwaa la watu kujifunza lugha ya kiswahili. Hivi ni kweli kwamba Petro E. mselewa hajui tofauti ya kuahirishwa na kuvunjwa? Hii ni aibu kubwa sana

Ameshakujibu kuwa ameandika kama ilivyosomeka kwenye gazeti la mwananchi!!! sasa mbona mnamkomalia kijana wa watu kiasi hiki?
 
Sijui Sx kama anajifunza lolote hapa. Mwenzake kaona hakuna maamuzi yoyote yatakayofikiwa kutokana na kutotimia akidi kaahirisha bunge, yeye pamoja na kuona na kujua kuwa akidi haitatimia kupitisha maamuzi anaendelea na bunge lake.
 
Hee nao wamejiunga na ukawa?
 
Last edited by a moderator:
Hilo Bunge huwa linajadili nini?
Ni lile la akina Shyrose Bhanji?
 
Tokea tarehe ya mwanzo wananchi tulihoji kwanini iwepo fast tracking kathka eac kitu ambacho mpaka leo hakijawahi kujibiwa ..hizi nchi za kiafrika ni heri arudi mzungu awatandike watu bakora,yaani akiri hatuna alafu wazungu daily wanatumia advantage ya utahira wetu
 
Sijui Sx kama anajifunza lolote hapa. Mwenzake kaona hakuna maamuzi yoyote yatakayofikiwa kutokana na kutotimia akidi kaahirisha bunge, yeye pamoja na kuona na kujua kuwa akidi haitatimia kupitisha maamuzi anaendelea na bunge lake.

Six anapenda mbunye sana ndo maana anapenda kukaa dodoma
 
Hili bunge litakuja kutengamaa JK atakapoondoka madarakani
 
mkuu jina ni jMali sio jmall naona kuna spelling mistake kidogo. Pili nimuulize mtani wangu murutongore swali la kizushi: Tuangalie hawa wabunge toka Rwanda na Burundi ambao wamekwamisha bunge je majority (kama sio wote:A S wink🙂 ni wahutu au watutsi? isije ikawa kweli mmeweka Tutsi-COW ndani ya COW! hahahahaha.
cc: Ngongo
 
Last edited by a moderator:
Lakini wakae wakijua sisi ndo mabingwa wa siasa za mitaroni na kukamiana soon watapoteana,icheze Tanzania kwenye mambo mengine ila sio siasa na mipango ya kupotezana

mkuuu you made my day..hawajui wamba siasa za mtaroni palizaliwa hapa eeeeeh!!!!sasa subiri hao nyambafu kama hawatawajibishwa ..to boycott parliament proceedings without notice to the speakers may lead to........
 
Hii ni kwa mujibu wa nyepesi nilizozipata,itakumbuka kuwa rwanda walitaka kumuondoa spika kwa hila,tanzania ikabaini,ikaondoa saini kwenye petition,sasa rwanda imeamua kulikwamisha bunge kwa kutohudhuria
hivi kwanini wanataka kumtoa spika?. na ishu za vikao kuzunguka nchi na nchi iliishia wapi?
 
sioni tatizo la Kikwete hapo.

Mkuu MTAZAMO tunaomba Mungu siku za Kikwete Magogoni zimalizike haraka sana.

ni vizuri machalii wakafikiria mtu wakupeleka bungeni hata kama ni chadema. hatuhitaji watu wakwenda kutukana watu.

sioni tatizo la Kikwete hapo.

ni vizuri machalii wakafikiria mtu wakupeleka bungeni hata kama ni chadema. hatuhitaji watu wakwenda kutukana watu.

Kikwete anasababisha kuyumba sana kwa EAC
 
Kikwete ana tatizo kahamisha mikutano yote ya kimataifa Arusha.

sioni tatizo la Kikwete hapo.

ni vizuri machalii wakafikiria mtu wakupeleka bungeni hata kama ni chadema. hatuhitaji watu wakwenda kutukana watu.
 
Yeah,
Umesomeka kaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…