Bunge la EA si haba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la EA si haba

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Jun 6, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,510
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  wamejaaliwa ..natumai watatuwakilisha vema
  [​IMG]
   
 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  Saint Ivuga ... vipi Kijana ... nini kinakusumbua ... mara aaah sijui wabunge si haba! ... (yaani unamaanisha wametosha/ wamejaa) au ... mara unaanza kusema oohh wamejaliwa! ... he vipi wewe kijana au umeshaanza kuanzisha njaa nini! ... njaa hizi jamani kwa kweli zinasumbua sana watu na zitaua wengi!

  Ngoja nikusemee ... Mwali !!!!! njoo umuone rafiki yako huku ... anaendekeza njaa & bado hajajirekebisha!
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mzee six namuaminia.
   
 4. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Watuwakilishe kweli kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo na sii kuuza sura na kupata posho tu. Tuyaone matunda yao kwanza..
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo na mmiss Le Mutuz
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamaa ccm wamemchinjia baharini ana hamu nao?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,510
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  kawahonga sana wakampotezea sasa hivi kajianzishia ka blogu anakimbizana na kina mange na michuzi
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,510
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  ha ha ah kiongozi hayo mengine ya njaa umeyataja wewe ha ah aa
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kuna mmoja atatuuza hapo hapo kwa urafiki wa kitandani na wakenya. Mi huwa naumia sana watu wanapochagua watu kwa ushabiki bila kuangalia ufanisi wa kazi wanayotumwa utakuwaje. Alishajipeleka ubalozi kutafuta bwana ili awasaidie kupata ardhi yetu. Muuza sura ni muuza sura tu!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,510
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  tema mate chini
   
Loading...