Bunge la chitchat jumatatu hii...

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Kutokana na mmoja wa wabunge wetu kufumaniwa kule singapore (singida) na kutaka kugeuzwa mshikaki na mgoni wake na kucharangwa kidogo na sime,
tutarajie maneno gani kutoka katika bunge letu tukufu jumatatu hii??

Bunge la chitchat linaketi,
Nawasilisha.
 
Ngoja namuandalia msuto huyo mleta habari,
Kwa huku Pwani mwanaume kufumaniwa ni sifa na inadhihirisha urijali, huku Pwani kama mke anaye mume halafu unapita mwaka hujamfumania jua huyo mume si ridhki kabisa.

Sasa mleta habari anadhani hiyo ni stori ya kitaa, huku watu tunamsifu kweli aliyefumaniwa na tunampongeza.
 
Zinduna kumbe kibakwe kongwa ni pwani,
 
mhe,spika ni kweli nilizidiwa ikabidi niombe muongozo kwa mcapio wangu a.k.a deepstick,wakati nasomewa mwongozo ghafla nikajioporoa mmama mmoja ambaye kwa kweli tumeanza kuibana muda mrefu lakin kumbe siku ya 40 ikawa imetimia.mhe spika pamoja na kukutwa na mwenye kampuni lakn ulikua ni upepo kama anavyosemaga mwenyekit wetu,kwel upepo ukavuma na ukapita,mhe,spika,haka ni katabia kangu toka zamani siwezi kukaacha wala siwez kubadilika kwenye uwazir wangu,hata aliye niteuwa anajua na yeye huwa anafanyaga hvhv,sema tu ka arobaini kake hakajafika,ntadumu ktk uzinzi.naomba kuwasilisha mhe,spika
 
Ngoja namuandalia msuto huyo mleta habari,
Kwa huku Pwani mwanaume kufumaniwa ni sifa na inadhihirisha urijali, huku Pwani kama mke anaye mume halafu unapita mwaka hujamfumania jua huyo mume si ridhki kabisa.

Sasa mleta habari anadhani hiyo ni stori ya kitaa, huku watu tunamsifu kweli aliyefumaniwa na tunampongeza.
zea is where i love u Zinduna
 
Back
Top Bottom