JUMBE ABDALLAH
Member
- Jun 15, 2013
- 22
- 5
Baada Ya Muheshimiwa SUGU kuonyesha kwamba wanabongofleva wanaweza siasa kuna baadhi ya wasanii nao wanataka kuingia ulingoni kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu hapo mwakani, wasanii hao ni MKOLONI jimbo la Tanga Mjini Kupitia CHADEMA, AFANDE SELE morogoro mjini CHADEMA na JUMA NATURE temeke CHADEMA, vile vile bado aijafahamika PROFESA JAY atagombea jimbo gani! kwani nae ana nia hiyo na ndo mana mwaka jana alijiunga CHADEMA na kukubidhiwa uanachama. nawaomba tujiandae na hotuba za kimichano zikiwa na vina na mizani ndani yake.